Show simple item record

dc.contributor.authorAmpaire, Nashimu
dc.date.accessioned2024-03-18T10:20:21Z
dc.date.available2024-03-18T10:20:21Z
dc.date.issued2022-11-29
dc.identifier.citationAmpaire,S. (2022). UCHUNGUZI WA STIARI KATIKA RIWAYA YA UHASAMA KILIMANI NA RIWAYA YA UCHUNGU WA MWARIDI.(Unpublished Undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/18571
dc.descriptionA research dissertation submitted to the Institute of Languages and Arts in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractLengo kuu la utafiti huu ni kuchanganua matumizi ya sitiari katika Riwaya ya Uhasama Kilimani na Riwaya ya Uchungu wa Mwaridi.Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini utokeaji wa sitiari mbalimbali katika riwaya ya Uhasama Kilimani na Riwaya ya Uchungu wa Mwaridi. Pia Kutathimini mchango wa stiari katika uendelezaji wa ujumbe katika riwaya ya Uhasama Kilimani na Uchungu wa Mwaridi. Utafiti huu ulikuwa wa maktabani na ulifanyika katika maktaba ya chuo kikuu cha Makerere kwasababu ndiyo ina vitabu mbalimbali na mazingira bora pakusomea Utafiti huu umegundua kuwa riwaya hizi mbili zinatumia aina za sitiara kama vile chakavu, mseto,radidifu na sahili. Tunapendekeza kwamba wahakiki wengine washughulikie vipengele vingine kama vile wahusika, usimulizi wa , mandhari, nadharia kama ya umaksi, umuundo na dhamira ya mwandishi wa vitabu hivi.Suala la utafiti ni,”mtafiti Lonyce Wakesho alitafiti uchunguzi wa tashibiha,isitiara na taashira katika Diwani ya Damu Nyeusi”, Kutofautiana na mtafiti huyu , utafiti huu inachunguza matumizi ya stiari katika riwaya ya Uhasama Kilimani na riwaya ya Uchungu wa Mwaridi.en_US
dc.description.sponsorshipPrivateen_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectMetaphorsen_US
dc.subjectKilimanien_US
dc.subjectMwaridien_US
dc.subjectKiswahili novelsen_US
dc.titleUCHUNGUZI WA STIARI KATIKA RIWAYA YA UHASAMA KILIMANI NA RIWAYA YA UCHUNGU WA MWARIDIen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record